Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akili yako inajitegemea yenyewe kwa kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila ingeanzia na "Mi" ingeleta maana ya hovyo kabisa.

Habari za majukumu "Nkundwe" ghwanghu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hata "ma" bado yasimamisha maana...
Halafu matombo ni neno la kiswahili kabisa... ina maana sawa na magaga....
Njema kabisa, hofu kwako...
 
Unataka kuniozesha Dada yako mwingine???
Naona wote walishaolewa sasa. Toa mahari mkuu mambo yaishe. Kuwa Mpare siyo guarantee ya kuoa bure. Halafu umeenda madhabahuni na mke ambaye hujamtolea mahari. Unafikiri hiyo inakubalika machoni pa Bwana? Ingekuwa sheria za Musa ndo zinafanya kazi usingerudi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…