myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
12:47
Hakuna awezaye kusimama Mungu afanyapo hasiraaaaaaaaaa
Wakati ule gospo ilikuwa gospo kweli siyo hii ya kurukaruka na kukata mauno ya akina Rose Muhando. Kwema shem? Bro umemficha wapi?
Old is Gold Babe. [emoji8]Hakuna awezaye kusimama Mungu afanyapo hasiraaaaaaaaaa
Mwogopeni Mungu mwenye uwezo wote
Mwogopeni Mungu
Mwenye uwezo wote
Ogopaaaaaaaaaaaa.
Yani kipindi hicho ndio kulikuwa na Gospel sahivi kuna makelele tu.Wakati ule gospo ilikuwa gospo kweli siyo hii ya kurukaruka na kukata mauno ya akina Rose Muhando. Kwema shem? Bro umemficha wapi?
Nimekusoma mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] ila usiwaze hivyo[emoji3] [emoji3]wabongo nyie ni nomaSio tusi mkuu, lilivyokaa kaa tu.... ukilivalisha uhusika wa KITENZI linaleta mkanganyiko.
Yaani watu walikuwa wanaimba bwana...tena kwa hisia kali, waweza sema mwisho wa dunia huu hapa..Old is Gold Babe. [emoji8]
Hiyo Avatar balozi wa Colgate au [emoji23][emoji23][emoji23]
Msalimie.....Yani kipindi hicho ndio kulikuwa na Gospel sahivi kuna makelele tu.
Mume yupo atakuja baadae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji106], utata lazima usemwe...Nimekusoma mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] ila usiwaze hivyo[emoji3] [emoji3]wabongo nyie ni noma