Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama wewe unafikiria kujinyonga, tafadhali maneno yangu yawe karibu na moyo wako sasa hivi ninaposema nawe. ndugu mpendwa, usijitupe, hauko peke yako. kuna njia ya kuondoa maumivu yako. uko pekee ulimwenguni, lakini ukimaanisha ulimwengu wa wale wanaokupenda. hata kama hauko kwenye nafasi sahihi kwa sasa, fahamu, ni kweli
 
Maumivu unayosikia ndani yako ni kama giza lililofunga moyo wako, tafuta sehemu ya mwanga uliopo ndani mwako. maumivu yako yakuonyeshe mahali pa kupata uponyaji. njia ya kupona ni kuangalia upendo wako ndani ya moyo wako ili kuondoa maumivu. TAFUTA MSAADA. Ni vizuri kutafuta msaada. kuna watu waliwahi kupona kama wewe ulivyo sasa, wanatafuta kukusaidia wewe!
 
Avatar koromije orijino imerudiiii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Yes. That's da man himself...Kujificha ficha nini bana? [emoji16][emoji16][emoji16] Fayaaaaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Watu wengine hawawezi kukuelewa unatokea wapi, wanaweza kuwa wanaogopa au wasiwe tayari kukusaidia. omba na kuomba hatiamaye utapata alie sahihi kukusaida.

Fahamu kwamba kuna watu wanaojali!

Fahamu kwamba maumivu yanaweza kupungua

Fahamu kwamba uponyaji unatokea.
 
FB_IMG_1528124780261.jpg
 
YUPO MTU FULANI ANAYEJALI

Hata kama hujapata mtu wa kukuelewa maumivu yako, yupo mtu ambae ANAJALI.
Kuna watu waliojitolea muda wao kwenye maisha yao kwa ajili ya kukutia moyo wewe, ili uondokane na hilo tatizo na kukuondoa sehemu hio, na kukupeleka upande mwingine ili uweze kuondokana na maumivu yako.
 
Wapo watu wanaosoma hii makala , tayari wamepoteza mtu fulani waliompenda kwa sababu ya kujinyonga. Kama unagugumia kwa hisia hizo za kupoteza mtu kwa kujinyonga; ni sawa na ni wakati wa kusogea kuomba msaada kwa mtu anaejali. ipo njia kwa ajili yako ya uponyaji , na ipo njia kwa ajili yako ya kufanya mabadiliko.
 
Ili kuepukana na hii hali jaribu kuwa wazi kwenye hisia zako, muda mwingi uwe na familia yako, kumbuka umuhimu wa kiroho, kubali na uwe na shukurani. panga maisha yako ya baadae na ujiwekee mafanikio, jitolee kwenye kazi mbalimbali bila malipo.

Fanya mazoezi ya kutosha na ule chakula sahihi, soma vitu unavyovipenda.
 
Back
Top Bottom