Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya mabadiliko hayawezi kuja kwa haraka yanachukuwa muda mrefu. mpaka mtu afundishwe afahamu ndio atagundua maisha ni nini. Nafikiri mabadiliko yanaweza kuelezewa kwa namna nyingi ili kuleta maana halisi ya maisha.
 
Mabadiliko ya Kwenye Mazingira.

Usipende kuteseka kwenye mambo mabaya , Jifunze mambo mbali mbali kwenye maisha ili uishi kama wengine wanavyoishi. Soma vitabu , Nenda kwenye semina , nenda kanisani, nenda msikitini, sikiliza video nzuri zinazohusu kitu unachokitaka maishani mwako. Fanya mazoezi, Tumia Muda wako vizuri, ukiwa bize kujifunza kuhusu jinsi gani utatumia muda wako , utaanza kuishi kwa njia rahisi sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kenti weiti
 
Tumia muda wako kufikiri , kutafuta mawazo mapya na kutafuta taarifa sahihi kila mahali unapokuwa. Uwe mtu wa kusamehe , kushukuru, mwema, mwenye upendo, jikubali, jiheshimu, jitambue. Kujitambua ndio mtaji wako mkubwa.
 
Kwa maana nyingine tunapata maana ya maisha kila tunapoamka na kuwa na kitu cha kufanya kwa uzoefu . Lakini ukiwa gizani bado utaona maisha hayana maana , Tafuta Nuru ya Neno la Mungu upate ufahamu mkubwa , ufunguliwe ndani yako na urudi nyumbani maana umepotea. Rudi kwenye maana . Hiyo Maana ni Mungu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…