andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Yaani!! Wee acha tu. Nakosa raha za duniani mimi...Shem kwani wewe ni mmasai?maana wamasai hawana zile kitu
Yaani!! Wee acha tu. Nakosa raha za duniani mimi...Shem kwani wewe ni mmasai?maana wamasai hawana zile kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi hata zile nyingine wanazo kweli?Shem kwani wewe ni mmasai?maana wamasai hawana zile kitu
Wowowooooo [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Huyo ndo mimi sasa. Maisha ya mtandaoni yanadanganya. Mwambie bro akulete huku Koromije kwenye mashamba yangu ya nyanya shem. Real life. Satisfied !!!Hiyo siyo ile ya kaka mzuri bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona wameandika mchungajiHujaona anaitwa nani sijui[emoji87][emoji87]
Aaagr nimesahau[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisaaa niacheeeEnzi zileee za kuchezea makonika toka kwenye kamera za picha za negativu aaah[emoji124] hata hutanielewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
That's my BroWowowooooo [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Sio zile bwana.....namaanisha kingine kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Za kwenye avatar ile ya mkoro iliyo pita[emoji1] [emoji1] sema tu na mimi nizioteshe
Jana kweli alisema kuwa alikuwa na pipi kijiti laivu. Kazi kweli kweli [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Yule wa jana mwenye ile "pipi" yupo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wowowooooo [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Dash dash ndo nini?Inatutia majaribuni wapenda dash dash......
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Utawahi? Wahenga hata staili yetu ya uandishi tunajulikana. Wewe likely ni 90s kama maandaeitini wengi humu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie muhenga
Nitakunong'oneza....Andjul asisikie.Dash dash ndo nini?
Powa PYAAR habari za uzima wakoMambo Cole!