andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mkanda ulikuwa unakuwa umeungua,wanavyo udivolopu unakuwa unaonyesha giza tu. Tulikuwa tunaiotea kwenye mapipa kabla hawajaenda kuichoma.Kamera za zaman za wale wapiga picha maringo mia kidogo,zile picha ambazo ukipiga leo kuzipata baada ya wiki au mwezi zilikua na negativu. Sasa mikanda yake wakienda safisha yanabaki hayana kazi wanayatupa,watoto tulikua tunayachukua na kupambia kwenye michezo,wakiume walikua wanaunda gari au nyumba za hayo makonika