Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya nitawawekea ile avatar ya Idris. Huyu ndo mi mwenyewe kabisa. Kumbe sina mvuto dah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sawa brathee, sikujua kama ni wewe bro mbona muhandsamu tuu ni vile nilikuwa nimeizoea ile nyingine [emoji4]
Avatar hii ndo ilikuwa humu kwa muda mrefu
Ohoo kumbe mimi nilikuta ile ya idrisa nikaizoea ile kumbe hii ndo awali hakuna shida usiitoe [emoji4]
 
Unataka kusema ni rangi ya jezi,mvaaji ni yule yule!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rangi ni moja wavaaji tofauti [emoji23]
 
Back
Top Bottom