Mambo vp shiroUsiseme tu bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
21:0020:59
habari yako mkuu20:59
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji23]View attachment 797034
Poa sana niaje kasmart?Mambo vp shiro
Salama shiro,haujambo ww? siku yako imeendaje hukoPoa sana niaje kasmart?
7. Wagumu
Wakati utafiti wa zamani unasema kuwa wanawake huvutiwa na wanaume wanawaopenda, tafiti mpya zimedai kuwa kujifanya mgumu, kutojali kunawavutia wanawake. Kifupi, wanaweza kutaka kile wanachodhani hawawezi kupata.
Kaone !!!Siyo kujifanya mgumu, ni kuwa MGUMU kweli! Hakuna kuigiza! [emoji1][emoji1]
Imethibitika. Mkoromije hana mvuto. Watu wanamtaka celebrity Idris. Always give what the people want hata kama ni Barabas badala ya Yesu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu acha kutuvuruga bhana na hizo avatar
#mrudishemkoromijewetu#
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Njema mkuu..Kwema?habari yako mkuu
Kwema aisee,pande hzo vp?Njema mkuu..Kwema?