Kaone !!!
Siku ukizinduliwa aisee nitacheka mpaka mbavu ziniume. Kwema lakini?
Acha zako weuweeSiyo kujifanya mgumu, ni kuwa MGUMU kweli! Hakuna kuigiza! [emoji1][emoji1]
Huku kwema. Mi namsubirisha poti tu afanye yake. Dah !!![emoji1][emoji1][emoji1]... Nimekula kiapo aisee, siwezi kukitengua! [emoji123] Kwema kabisa, mambo Vipi huko?
Huku kwema kabisa...Twawanyima vumbi tu huku.....hakuna la zaidi..Kwema aisee,pande hzo vp?
Mnatunyima nn huko
Acha zako weuwee
Hebu kazindue. Nawe unasubiri nini sasa?Acha zako weuwee
Mie simoooo[emoji1][emoji1][emoji1]... Nimekula kiapo aisee, siwezi kukitengua! [emoji123] Kwema kabisa, mambo Vipi huko?
Mie simoooo[emoji1][emoji1][emoji1]... Nimekula kiapo aisee, siwezi kukitengua! [emoji123] Kwema kabisa, mambo Vipi huko?
Haitatokea hioHebu kazindue. Nawe unasubiri nini sasa?
Aaaaaaaarghhhhh !!!Haitatokea hio
Mmh!![emoji124][emoji124]Siyo kujifanya mgumu, ni kuwa MGUMU kweli! Hakuna kuigiza! [emoji1][emoji1]
Idris tumemchoka,mtoe puliziii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imethibitika. Mkoromije hana mvuto. Watu wanamtaka celebrity Idris. Always give what the people want hata kama ni Barabas badala ya Yesu [emoji16][emoji16][emoji16]