carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Aaagr!!Wewe badala ya kunipa pole, unanipongeza! [emoji6][emoji6]
Kijana unaendeleaje?Watafutaji wa likes
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huo ni uchu aiseh!Raha ya utamu hiyo[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Salama kabsa Bro,huku kwema tunamshuru Mungu, pole na majukumu piaKwema kabisa ndugu yangu. Habari ya majukumu?
Hahahahhahaa aiseeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 797060
Hahahahahaa carba banaIngekuwa mimi ndo numby ningekuzidua sasahivi tena makusudi kabisa kukukomesha tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijambo kasmart na siku yangu ilikuwa poa sema uchovu kiasi sijui wewe na siku yako?Salama shiro,haujambo ww? siku yako imeendaje huko
Hajakuomba umtetee...Jamani muacheni binti mpole apumue, eeh! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]Good[emoji122] [emoji122]
Endelea kuwa na msimamo imara,naamini Numby atajileta tu.
Kwema kakaWord!!
Niaje brother
Kuwa mwanaume ni kazi ngumu [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahhahaa aiseeee
Ilikuwa poa pia!!namshukuru MunguSijambo kasmart na siku yangu ilikuwa poa sema uchovu kiasi sijui wewe na siku yako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shirooooo njooooo !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Utamu wa konokono mchuzi uwepo[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huo ni uchu aiseh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106]Hajakuomba umtetee...
Utazinduliwa tu