Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tabia za kuficha fedha:
Hii utaiona ghafla mpenzi wakeo anaanza kuwa na siri kuhusu fedha zake au matumizi yake, na wala hapendi kuulizwa ulizwa kuhusu suala hilo. Tabia hii ikidhihirika katika mapenzi yenu usichelewe kuchunguza maana kwa kukaa kimya unaweza kujikuta umechelea mwana na maji ya moto
 
Kuzoeana baina ya wanandoa ni jambo zuri, kwa maana ya kila mmoja kumfahamu mwenzake, lakini kuzoeana huku kunaweza kuzalisha dharau hususani kwa upande wa mwanamke kwa kutojali usafi wake, mavazi anayovaa, chakula anchopika, nidhamu ya nyumba na mpangilio kwa ujumla.
 
[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]

Huwa nashangaa walokole kukazania uzinzi - lidhambi liguuumu kulitenda na linalohitaji maandalizi ya kufa mtu - na kuipuuzia dhambi hii ambayo mi naamini ndo itasomba watu wengi kwenda kufanywa mishikaki kuliko dhambi nyingine yo yote. Mungu Atusamehe !!!
Sijui kwanini Tunaongopa na kuongopewa binafsi nachukia sana kuongopewa
 

IMG-20180607-WA0030.jpg
 
Yaani avatar ya huyu balozi wa Colgate na mdoa wake usoni inaachwa inatamba hapa badala ya ile nyingine chemshi lakini ya kwangu kabisa orijino inafanyiwa figisu figisu. Ina maana hii ina mvuto kuliko yangu orijino kabisa. This hurts [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani avatar ya huyu balozi wa Colgate na mdoa wake usoni inaachwa inatamba hapa badala ya ile nyingine chemshi lakini ya kwangu kabisa orijino inafanyiwa figisu figisu. Ina maana hii ina mvuto kuliko yangu orijino kabisa. This hurts [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Matatizo mengi ndani ya nyumba yanaweza kusababishwa na moja au baadhi ya tabia hizo, ambazo huenda ikawa hazitokani na dharau, bali kuzoeana, kwa mfano, siku za mwanzo wa ndoa mwanamke huwa anajali sana usafi wa mwili wake, umaridadi wa nguo anazovaa, usafi wa nyumba na nidhamu ya hali ya juu, upishi wa chakula unaozingatia vionjo na ubunifu, mapokezi yenye bashasha na wakati mwingine hata kumkumbatia mumewe arudipo kutoka kazini.
 
Lakini baada ya kuzoeana yote hayo hubadilika, mwanamke huhisi kuwa hana jipya la kumuonyesha mumewe, hujiona wameishakuwa watu wazima sasa, na mara nyingi utakuta mwanamke huyu anashinda na sare (uniform) moja kuanzia asubuhi hadi anapopanda kitandani usiku, mambo ya Hinna, nguo za fashion, salon, manukato, kujipamba na dhahabu huyafanya pale anapotoka kwenda harusini na sio nyumbani. Huku ndio kuzoena, na tafsiri sahihi ni kudharau.
 
Hivyo ili kulinda kibarua cha chako cha mahusiano ni vyema ukajifunza kila wakati kutofanya vitu ambavyo vimekuwa havijayajengi mahusiano yako.
 
Back
Top Bottom