Sijui kwanini Tunaongopa na kuongopewa binafsi nachukia sana kuongopewa[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Huwa nashangaa walokole kukazania uzinzi - lidhambi liguuumu kulitenda na linalohitaji maandalizi ya kufa mtu - na kuipuuzia dhambi hii ambayo mi naamini ndo itasomba watu wengi kwenda kufanywa mishikaki kuliko dhambi nyingine yo yote. Mungu Atusamehe !!!
Wezi,mfyuuuu[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]View attachment 797113View attachment 797115View attachment 797116View attachment 797117View attachment 797118
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani avatar ya huyu balozi wa Colgate na mdoa wake usoni inaachwa inatamba hapa badala ya ile nyingine chemshi lakini ya kwangu kabisa orijino inafanyiwa figisu figisu. Ina maana hii ina mvuto kuliko yangu orijino kabisa. This hurts [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani avatar ya huyu balozi wa Colgate na mdoa wake usoni inaachwa inatamba hapa badala ya ile nyingine chemshi lakini ya kwangu kabisa orijino inafanyiwa figisu figisu. Ina maana hii ina mvuto kuliko yangu orijino kabisa. This hurts [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo jina ni kiboko. [emoji23][emoji23]
Wewe huongopi? Tangu kuche leo ushaongopa mara ngapi bro?Sijui kwanini Tunaongopa na kuongopewa binafsi nachukia sana kuongopewa
Mshindwe na mlegee....[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]Kwa udhamini wa pyaar[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 797127
[emoji23]View attachment 797129