myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atupe afya na uzima
Good night mkuuUsiku mwema team likers
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haka sikapendagi haka dah !!!
Haka nadhani nilikafuta...
Afadhali kakiwa kwenye mapozi tofauti. Yaani ulipoweka hii ulikuwa mkali kama mbogo mpaka tuliomba poo...
Saa tisa na nusu hii rudi ukalale. Usingizi muhimu sana...Na uote ndoto nzuri...uote unakazindua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha nshamaliza ndoto zoteSaa tisa na nusu hii rudi ukalale. Usingizi muhimu sana...Na uote ndoto nzuri...uote unakazindua [emoji16][emoji16][emoji16]