Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umependeza

Kama umekuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu, ni rahisi kujisahau katika mengi. Ni muhimu kumkumbusha mpenzi wako kuwa anakuvutia. Kumjulisha kuwa ‘gauni hilo limekupendeza sana’ kutamfanya ajisikie vizuri na kukumbusha kwanini ulimchagua yeye.
 
Ubishi hauna nafasi kwenye uhusiano wenye furaha, hivyo omba msamaha unapofanya kosa. Omba msamaha kwa kukasirika. Omba msamaha kwa kuumiza hisia za mpenzi wako. Omba msamaha hata kwa vitu ambavyo sio kosa lako.
 
10. Napingana na hilo

Sehemu moja wapo ya kumheshimu mpenzi wako ni kumjulisha pale usipokubaliana naye. Hakuna mtu anapenda kuoa mtu anayekubaliana na kila kitu na hakuna mwanamke anayetaka kuzaa watoto na mwanaume asiye na msimamo.
 
Mnaweza kuwa timu, lakini nguvu ya timu yoyote ipo kwenye mawazo na matendo ya kila mmoja. Kuwa na maoni yako na yaseme kwa mtindo wa heshima. Kumpa mpenzi wako mtazamo tofauti kunaweza kumsaidia kupata suluhisho kwa tatizo ambalo hakuwa ameliwaza.
 
Mnaweza kuwa timu, lakini nguvu ya timu yoyote ipo kwenye mawazo na matendo ya kila mmoja. Kuwa na maoni yako na yaseme kwa mtindo wa heshima. Kumpa mpenzi wako mtazamo tofauti kunaweza kumsaidia kupata suluhisho kwa tatizo ambalo hakuwa ameliwaza.
 
Iko wazi kwamba mahusiano yanahitaji elimu, mahusiano yanahitaji uelewa sio unakurupuka tuu na kuamua kujiingiza kwenye mahusiano pasipokuwa nauelewa wowote nivizuri kuelewa zile keys muhimu za kukuwezesha wewe kama binadamu kuweza kuishi na mwenza wako.
 
KUTOKU HESHIMU FAMILIA YAKO.
Najua wanawake wengi watashangaa sana kuhusu hii point ila niukweli kwamba mwanaume anaweza kuwa na wasiwasi mkubwa sana na wewe akijua huwaheshimu wazazi wako hasa mama yako. Kama tujuavyo wanaume wengi wanawapenda sana mama zao nakuwaheshimu kwahiyo atashangaa sana kuona unazozana na mama yako kama unajijua unamzozo na mama yako nakushauri usizungumze naye mbele yake.
 
PICHA ZAKO ZOTE NIZA CLUBBING(sehemu za starehe)
This screams the opposite of girlfriend/wife material. Embu fikiria mwenyewe mwanaume anatafuta mwanamke mwenye heshima afu siku anakaa nawewe anatizama picha zako afu anakuta picha zako zote umepiga uko maeneo ya starehe unakunywa,popping champagne,uko na watu mbalimbali mara mmeshikana viuno mmekumbatiana Hii itamfanya afikirie starehe kwako ndo kitu cha kwanza na muhimu mahusiano na mengineyo ndo hufuata ila kwako starehe ndo kila kitu.
 
UNAONGEA SANA KUHUSU EX WAKO(MTALAKA)
Hii huwapa wanaume wengi wengi wasiwasi nasio wasiwasi tuu huwakasirisha pia. Haiwezekani umekaa na mwanaume wako badala umsifie au uongelee kitu flani kuhusu yeye unaanza kujiachia kwakuongelee kuhusu uliyokuwa unafanyiwa na ex wako hapo utautibua mtima wake japo wengi hawatonesha kukwazika lakini ukweli ukipata nafasi yakuiona mioyo yao kwa muda huu nidhahiri utaona alivyokwazika. Sahau kuhusu ex wako na matendo yake kama ex wako alikuw akikunulia gauni huyu akakunulia viatu afu unaaza kumwambia yule alikuwa ananiletea full dresses utamuumiza sana km ulikubali kumpenda basi kubaliana naye kwakila hali badala ya kumtaja ex wako tumia njia nyingine mbadala ya kumuelezea next time akunulilie full dresses.
 
Sio nguo hata linapokuja suala la romance au sex ukiona ameperform tofauti na utakavyo au ulivyozoea tumia busara kumuelezea unavyotaka yeye akufanyie ukiona ningumu kumuamabia tafuta makala maalum kwenye magazeti au internet muite usome naye najua atakuelewa tuu.
 
HUJUI KUPIKA.
Mwanamke mapishi bana asikudanganye mtu eti mwanamke uzuri wanaume hudata zaidi na mwanamke mwenye mautundu jikoni. Udhaifu mkubwa wa mwanaume ni chakula labda hilo ulikuwa hulijui leo ndo nikuambie ujue. siku moja tukiwa tumekaa na marafiki zangu tukipiga stori wengi walikiri kuwa hawataweza kuoana na mwanamke asiejua kupika. mmoja alisema "Hivi itakuwaje niwe namwanamke mzuri afu asijue kupika marafiki wakinitembelea wanakuta kituko juu ya mweza niafadhali awe na mvuto wa kawaida ila jikoni ajue maanjumati" Sasa niende kwenye point yenyewe kupika sio mpaka umepika pilau yenye harufu nzuri lahasha nilazima ujue upishi wakisasa nasio wakukariri ujue kucheza nasusfuria za jikoni kupika vyakulambalimbali sio umejitahidi kupika afu juu ya meza kunakuwepo na hotpot moja tuu la pilau nilazima kuwepo na hotpot zaidi ya moja wale waelewa najua washaelewa namaanisha nn.
 
HUJIAMNI
Hii nipoint muhimu sana kutokujiamini kwa mwanaume wako kunaweza kumboa sana mwanume wako nilazima ujifunze kumuamini na wewe ujiamini sio kila saa unakuwa nawasiwasi na mashaka ukimuona yuko namarafiki wakike basi wewe full makelele na maneno ya chinichini,ukiona anacheka kwenye simu moyo umeshtuka,ukiona anaangaliwa na wengine unakosa raha unaanza kumhoji na kmbadilisha hivinahivi ilimradi tuu ww uwe na amani.jifunze kujiamini usije kuboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…