Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WATHAMANI
Nimeshindwa kupata point maalum ya kuweka hapa nikatumia neno wa thamani yani hapa nataka uelewe kuwa nivizuri kuwa mtu wakawaida uwapo na mpenzi wako sio unajifanya matawi ya juu kila muda lets assume mmepita mahali penye kiosiki akajisikia kununua chips hapo basi wewe unaanza kulalamika Jamani bby hizi chips sio chips twende pale hotelini tukanunue kwani yeye alipoamua kwenda kununua pale hakujua hiyo itamfanya ajue wewe sio mwanamke wa hali zote nilazima ukubaliane nahali zote.
 
HUJUI KUJITENGENEZEA
Hapa sizungumzii hujui kujiremba ama kuvaa bali nataka ujue yakuwa mwanaume huwanaaibu sana pindi waonapo wanawake wao wanaotembea nao hawajui kujipangilia kimwili na kimavazi. Mfano unakuta mwanaume kaja kukupitia muende out ile unatoka tuu umevaa kigauni kifupiii,High-heels nazo zinakupelekesha hutembei kwa amani,jicho umesimamisha mikope yako ya bandia,umechonga minyusi yako mpaka imetokeza kama unaendi igiza muvi ya kutisha,umejipiga ma makeup yasiyoeleweka. Nilazima ujifunze kuvaa na kujipangilia kwa mpangilio vaa vizuri. Hapo utajipa tiketi yakuachika mwenyewe.
 
UNANG'ANG'ANIA MAWASILIANO
Kwamfano mpenzi wako amekaa nusu siku hajakutext wala kukupigia basi wewe unantext hey are u dead??!! wanaume wengi hawapendi stress muulize kwa upole na tumia maneno mazuri kumuuliza kwann yuko kimya nasio unaropoka tuu.
 
MTU WA KUROPOKA
Mtu wakuropoka nimtu asiyekuwa na siri wanaume wengi hupendelea wanawake wanaojua kuhifadhi siri kama mmeongelea kitu chawawili basi kiwe cha wawili tuu sio unaleta zile za ushosti ukikutana wenzako unaanza kuwasimulia mliyoyafanya na kuwaelezea siri za jamaa. Akigundua unatabia hizo utakuwa katika wakati mgumu mno.
 
MLEVI KUPITILIZA
Unadani wanaume wanapenda wanawake walevi?? Hapana. Asilimia nyingi wanaume wengi hawapendi wanawake walevi hujanyimwa kunywa pombe ila nivibaya kulewa hadi kushindwa kujielewa unalewa hadi hujitambui hiyo tabia itamfanya ashindwe kuwa naamani naww hasa anapokuwa mbali naww anaanajua uko mahali unakunywa.
 
MLEVI KUPITILIZA
Unadani wanaume wanapenda wanawake walevi?? Hapana. Asilimia nyingi wanaume wengi hawapendi wanawake walevi hujanyimwa kunywa pombe ila nivibaya kulewa hadi kushindwa kujielewa unalewa hadi hujitambui hiyo tabia itamfanya ashindwe kuwa naamani naww hasa anapokuwa mbali naww anaanajua uko mahali unakunywa.
 
YOU HAVE A PROMISCUOUS PAST
You never cheated on anyone, and you were always safe about your health, but you got around in your day. For some men, this is a no-go. It doesn’t matter how respectable and nice you are now; they just can’t handle a woman with a reputation like that.
 
YOU'RE NOT INTO PDA(Pathological demand avoidance)
Men like to set the pace on PDA. Even if they’re not really into it, they don’t like when a woman completely keeps her hands off them in public. They like to have the option for PDA, should the mood strike them. Having you set the pace makes them feel emasculated, and neglected.
 
YOU DON’T TAKE HIS SIDE IN PUBLIC
It’s okay if you think what he just said is completely stupid, uneducated and juvenile. But you are not to say that in front of other people. If he backs himself into a wall, you go pry him out. You don’t line up with the others to laugh at him. Most men won’t stand for this.
Samahani nimechanganya na Lugha Ya Kiingereza ilikuweza kuweka maana nzuri na yenye maana fupi.
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…