Umeona mambo hayo ...Aisee!
Habari MoudgulfSalaam Pyaar
Umeua mkuu
Nimeyaona.Umeona mambo hayo ...
Hatari kabisa.Umeua mkuu
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Habari za jioni TZ. Habari za jioni JF. habari za jioni Wapendwa wa Mungu wote ndani ya uzi huu.?
Bonge la wimbo, bonge la video
Mapenzi ni sehemu ya uboya.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama hapo ni TANGA sawa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] . Tanga ni rahisi sana mwanaume kufanywa hamnazoKwamba tanga wanaume ndio wanakuna nazi au [emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuria mkunishe Nazi !!!!? Thubutuuuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwani kwingine hawawezi?
Hahahah! Amna wao wanajua kucare kwakuwasaidia wake zao baadhi ya kazi za nyumbani.
Wapi huko mkuu?Mbona hata kwingineko wanafanya hivo..
Nawe piaMchana mwema
Siku inasogeasiku imeshika kasi
Aiiiiiiiiiiii,Siku zote Khanga anapigwa nayo mwanamke anayejielewa tu
Asiyejielewa tandika makofi tu dadeki