Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tecno zinakuwa na ujinga sana..simu ukiweka mfukoni kama umesahau kuLock screen..unakuta umefanya kila kitu yani...unatoa mfukon unakuta usha breakUp na bae wako,,.na ushajiludisha kwa Ex wako tena na text ya “nimekumissgggghdddd” umedownload App ya Sportpesa tayar,UmeKopa Voda na umemtumia mama yako Audio ya WOWOWO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…