Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
January nilikuwa navitandika balaa. Na chapati zile zenyewe kabisa na supu ya mbuzi dah! Siku nzima mtu unacheua vinono tu...Sana aisee!
[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ila nadhani poti mwenzio huyo alikuwa anaongelea "vitumbua"