Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

January nilikuwa navitandika balaa. Na chapati zile zenyewe kabisa na supu ya mbuzi dah! Siku nzima mtu unacheua vinono tu...

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ila nadhani poti mwenzio huyo alikuwa anaongekea "vitumbua"

Chapati na vitumbua napenda sana aisee! Ukiongezea na supu chukuchuku ya mbuzi, daa! Unakuwa umeshiba kutwa nzima! [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…