Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,954
- 7,113
Ni njema kwa kiwango cha juuHabari!
Ni njema kwa kiwango cha juuHabari!
Mama huyu ni wako wasiwasi wa nini??Baki naye tuu wala hakuna shida
Aaaa wapi. Ile ilikuwa ni zaidi ya tokotokooo. Ile ilikuwa imeovahiti kabisa. Kama haikuwaka moto sijui [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Pyaar naona injini ilikuwa hiviView attachment 798904
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Stand your ground
Askubabaishe mtu kwako this is your home.
Hakuna diskasheni leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pipi za kumumunya in jirani's voice
[emoji106][emoji106][emoji106]Ni njema kwa kiwango cha juu
Ulinzi shirikishi[emoji12]Mrs msomali wewe ni mchochezi wa kiwango cha phd[emoji23][emoji23]
Ekzaktile! There you areI’ve been fighting to be who I am all my life. What’s the point of being who I am, if I can’t have the person who was worth all the fighting for?
Aiseeh [emoji848]I hope wewe ume mature si kama mentor
Sasa usianze ku over react.
We jitie jeuri tu,hujamuona eeh??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo hatuchocheki
U nini?Upinzi shirikishi[emoji12]
Ndo maana najiuliza kwanza ila kukamatwa ngumu maisha ujanja bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo usi ishughulishe sasa
Hapo ndio utakosea
Mbona utakamatwa kesho tuu
Huu ulinzi jamii umetokea wapi?Mama mimi nakulindia mali yako hakuna kingine
Oviazili lazima atakuwa anamumunya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sijui yuko wapi leo