Tiba ya Chango la Uzazi
Ni vizuri sana kumweleza Dr. Dalili zote mtu anapojisikia.
Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi hutibiwa na miti shamba.
Dawa inayotibu ugonjwa huu ni dawa inayotibu kizazi.
Matumizi yake kawaida mtu ataitumia kulingana na ukubwa wa tatizo lake.
Huchanganywa na viungo vya uzazi vya wanyama, ambavyo kazi yake ni kuondoa matatizo yaliyopo, kwenye kizazi cha manamke/mwanaume.
Wengi wana amini kuwa dawa za miti shamba hazina uwezo wa kutibu haya ni mawazo potofu, miti shamba ndiyo suluhisho la kila tatizo katika afya zetu.