Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bro sjasema unatetea ushoga, nikisimea u liberali na maanishia a liberal point of view as a whole sio kwenye ishu ya ushoga.

Ishu siyo biblia tu hata quran imekataza, hata tamaduni zinagoma uwepo wa mfumo huo shida unani attack kwa upande wa bible tu. Na mimi ishu ya ushoga sitegemei biblia ni standards zangu mwenyewe hata kama bible isinge sema. Kwa hiyo sina unafiki hapo na si mlingamishi shoga na muongo unless nakuwa nimelewa. Au alotoa mimba na mdokozi kwangu kuna makosa makubwa na madogo(si lazima iitwe dhambi naita makosa au upotofu)

Huwezi niita.mnafiki kwa kuwa na standards, ndio maana na wewe nikasema maisha bila standards ni chaos.

Uspanic mambo madogo ya sam smith haya. THERE WAS NOTHING PERSONAL mkuu [emoji23] .

Nadhani mjadala wetu uishe endelea kumsapot Sam thats what you enjoy ni haki yako ya msingi.
View attachment 746997
 
IMG_20180609_171042_426.jpg
 
I dont agree with you like 99% of times
But man we handle our discussions well somehow bro, and that should be the spirit, it is called civility.View attachment 799141
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Back
Top Bottom