Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Depression ni mbaya sana. Mtu ana kila kitu lakini anaamua kujiua. Sad !!!Dah! Huyu jamaa sijui nini kilompata...
Duh!!!Depression ni mbaya sana. Mtu ana kila kitu lakini anaamua kujiua. Sad !!!
[emoji16]This weather is acting as if we are all married [emoji19][emoji19].
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sikubali na sipendi ushoga. Plus abortion, usagaji na upuuzi mwingine. So usinilishe maneno eti natetea ushoga. Na wala usikimbilie kwenye ad hominem attacks bro. Angalizo langu ni rahisi tu:
Wakati tunawakoromea hawa mashoga, abortionists, pornographers, lesbians na wengineo, na sisi tujichunguze tuhakikishe kuwa tunaishi katika misingi sahihi kiroho (na vinginevyo) kwa sababu, kulingana na Biblia, mshahara wa dhambi (yo yote ile) ni mauti. Kufanya vinginevyo ni UNAFIKI tu. Kipi ambacho huelewi hapo?
Na unajuaje kuwa naishi maisha chaotic bro? Epuka personal attacks kama una hoja. Hunijui sikujui. Full stop bro !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umeuliza bro,, mm mwenyew huwa nashangaa wanazitolea wapiHizi picha mnakuwaga nazo wapi mmezitegeshea tu? Yaani mnazipanga mpaka zinaleta mlolongo safi kabisa...
[emoji109]Sikubali na sipendi ushoga. Plus abortion, usagaji na upuuzi mwingine. So usinilishe maneno eti natetea ushoga. Na wala usikimbilie kwenye ad hominem attacks bro. Angalizo langu ni rahisi tu:
Wakati tunawakoromea hawa mashoga, abortionists, pornographers, lesbians na wengineo, na sisi tujichunguze tuhakikishe kuwa tunaishi katika misingi sahihi kiroho (na vinginevyo) kwa sababu, kulingana na Biblia, mshahara wa dhambi (yo yote ile) ni mauti. Kufanya vinginevyo ni UNAFIKI tu. Kipi ambacho huelewi hapo?
Na unajuaje kuwa naishi maisha chaotic bro? Epuka personal attacks kama una hoja. Hunijui sikujui. Full stop bro !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji109]