Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siyo ukristo mpaka Usilam unakataa ushoga.
Bro u liberali umekuharibu, you think you are open minded kumbe huna standards, ndio maana mnajikuta mnaish chaotic life.kila.kinacho kuja.mna consume tuu
Anything without limit brings insanity
Sikubali na sipendi ushoga. Plus abortion, usagaji na upuuzi mwingine. So usinilishe maneno eti natetea ushoga. Na wala usikimbilie kwenye ad hominem attacks bro. Angalizo langu ni rahisi tu:

Wakati tunawakoromea hawa mashoga, abortionists, pornographers, lesbians na wengineo, na sisi tujichunguze tuhakikishe kuwa tunaishi katika misingi sahihi kiroho (na vinginevyo) kwa sababu, kulingana na Biblia, mshahara wa dhambi (yo yote ile) ni mauti. Kufanya vinginevyo ni UNAFIKI tu. Kipi ambacho huelewi hapo?

Na unajuaje kuwa naishi maisha chaotic bro? Epuka personal attacks kama una hoja. Hunijui sikujui. Full stop bro !!!
 
RIP...
446703556_8397.jpg
 
Back
Top Bottom