Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
446622511_16303.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa una nikumbusha liberals wanakuwaga wanajifanya wako open minded kumbe ni bullies wakubwa.

Na wewe umefanya uko open minded ila actually you are open to anything
There for hauna standards, sisi tukiweka standards sio unafiki ni msimamo tuu.
Sawa kabisa. Ila misimamo ya kinafiki haisaidii cho chote bro. Ni self righteousness tu - tatizo mojawapo kubwa linalousumbua Ukristo katika enzi hizi mpaka umekosa mwelekeo. UNAFIKI !!!
 
Sawa kabisa. Ila misimamo ya kinafiki haisaidii cho chote bro. Ni self righteousness tu - tatizo mojawapo kubwa linalousumbua Ukristo katika enzi hizi mpaka umekosa mwelekeo. UNAFIKI !!!
Siyo ukristo mpaka Usilam unakataa ushoga.
Bro u liberali umekuharibu, you think you are open minded kumbe huna standards, ndio maana mnajikuta mnaish chaotic life.kila.kinacho kuja.mna consume tuu
Anything without limit brings insanity
 
Back
Top Bottom