Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ARSENAL imeripotiwa kuwa kwenye hatua za mwisho kabisa kukamilisha dili la kumnasa beki wa kati wa Borussia Dortmund, Sokratis Papastathopoulos huku dili hili likiwagharimu Pauni 16 milioni.
 
Emery amedaiwa anataka kusajili mabeki wenye uzoefu baada ya Per Mertesacker kustaafu huku Laurent Koscielny akitarajiwa kukosa mechi kibao za mwanzo wa msimu ujao. Sokratis amekuwa kwenye kikosi cha Dortmund kwa miaka mitano baada ya kujiunga hapo akitokea Werder Bremen mwaka 2013.
 
Ushatolewa kwenye ignore list zamaan nasubiria hilo shairi la mzee wa shuainiiiii
 
Asante sana shemeji. Busara zako zimechomoza sawia. Yote ni mema. Na ukifanikiwa kunitoa kwenye ignore list kali ya safari hii nitakutungia shairi ili kusifia busara zako. Na nitalichapisha kabisa kitabuni busara zako zisomwe na vizazi vijavyo.

Mungu Aendelee kutubariki wapendwa, sisi na wapendwa wetu na vizazi vyetu...

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Niko ibadani huku (japo haijaanza) ndiyo maana likes zangu hamzioni. Nitarudi kutiririka baadaye (bila shwaiiiini [emoji16][emoji16][emoji16])
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…