Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Slay Queens be struggling to fill a single[emoji121]page[emoji405] in the Exam room
but ask them to list the qualities they want in a Guy, they'll write 8 full pages.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bastard
 
Kama una maanisha mama yangu ubarikiwe sana[emoji120] [emoji120]

Bado siku sita tu tukamilishe mwaka tangu tukutane kwenye uzi huu,tumeishi kama familia moja kwa kipindi chote hiki.

Tumepishana kwa maandiko yetu hadi tukafikia kununiana humu (mimi na Shimba kwa picha ya beach ya msukuma, mimi na Yegomasika kisa jina andaeitini, Shimba na ISIS kisa siasa,Numbisa na BAK kisa siasa,Shimba na BAK kisa siasa, carba Numbisa na ISIS nadhani ni siasa,n.k.) na wengine tukaya maliza mapema kabisa maisha yanaendelea. Mimi niliwahi kukuita Me kwa mwandiko wako niliouona siasani,ulivyo nielewesha nikaomba msamaha maisha yakaendelea.
Ahsante Numbisa kwa kumdhibiti "binti" yetu Aleyn kwa zile lugha zake za ujana siku za mwanzo wa uzi huu,lasivyo tusingekuwa hapa kwa mtazamo wangu.

Niseme tu ukweli, na minywele yangu mieupe kila mahali ilipo bahatika kuota,najiona bado ni kijana sana ninapo piga stori na vijana wangu humu,nafarijika sana tena sana. Nataniwa kupitiliza,lakini ndio maisha,kucheka ndio afya yetu.
Nakuomba mama yangu, usimshirikishe mzee wa liver kwa hili,"watoe vijana wako kwenye ignore list" tuanze maisha mapya.
Wewe ni mzee mwenzangu, tudumishe upendo kwa kuishi na vijana wetu kwa akili.

Leo ni jumapili, naona NGUVU YA MSAMAHA kutoka kwa Mungu kupitia kwa dada yangu ISIS inaenda kutimia kwetu sote.
IMG_20170825_152632.jpg

Tumetoka mbali saana
 
GIRL: I want to show you something.
BOY: Okay.
GIRL: Can we go inside the
bedroom?
BOY: (excited) sure, we can.
GIRL: Can I switch off the light?
BOY: Go on.
GIRL: Can I close the curtains and
windows?
BOY: (very excited) Fast!
GIRL: Can I lock the door?
BOY: Wow! Yea immediately!
GIRL: I'm done, come closer.
BOY: Here I am (this will be
amazing).
GIRL: I want to show you that my
watch has a light, you can use it to
check the time in darkness
Akili yangu ilisha jiandaa na kale kamchezooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Awesome muzeee huwa una busara sana sana tu gazeti kama hili kuliandika inahitajika akili ya ziada,only jiniaz wanauwezo wa kutiririka point kama hizo
Kama una maanisha mama yangu ubarikiwe sana[emoji120] [emoji120]

Bado siku sita tu tukamilishe mwaka tangu tukutane kwenye uzi huu,tumeishi kama familia moja kwa kipindi chote hiki.

Tumepishana kwa maandiko yetu hadi tukafikia kununiana humu (mimi na Shimba kwa picha ya beach ya msukuma, mimi na Yegomasika kisa jina andaeitini, Shimba na ISIS kisa siasa,Numbisa na BAK kisa siasa,Shimba na BAK kisa siasa, carba Numbisa na ISIS nadhani ni siasa,n.k.) na wengine tukaya maliza mapema kabisa maisha yanaendelea. Mimi niliwahi kukuita Me kwa mwandiko wako niliouona siasani,ulivyo nielewesha nikaomba msamaha maisha yakaendelea.
Ahsante Numbisa kwa kumdhibiti "binti" yetu Aleyn kwa zile lugha zake za ujana siku za mwanzo wa uzi huu,lasivyo tusingekuwa hapa kwa mtazamo wangu.

Niseme tu ukweli, na minywele yangu mieupe kila mahali ilipo bahatika kuota,najiona bado ni kijana sana ninapo piga stori na vijana wangu humu,nafarijika sana tena sana. Nataniwa kupitiliza,lakini ndio maisha,kucheka ndio afya yetu.
Nakuomba mama yangu, usimshirikishe mzee wa liver kwa hili,"watoe vijana wako kwenye ignore list" tuanze maisha mapya.
Wewe ni mzee mwenzangu, tudumishe upendo kwa kuishi na vijana wetu kwa akili.

Leo ni jumapili, naona NGUVU YA MSAMAHA kutoka kwa Mungu kupitia kwa dada yangu ISIS inaenda kutimia kwetu sote.View attachment 799423
Tumetoka mbali saana
 
Awesome muzeee huwa una busara sana sana tu gazeti kama hili kuliandika inahitajika akili ya ziada,only jiniaz wanauwezo wa kutiririka point kama hizo
Halafu nimewaona mmenirukia sana wiki hili,naona kwenye ubabu nimepitiliza sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Numbisa habari ya jumapili mamaangu[emoji137] [emoji137]
 
Back
Top Bottom