Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6811158C-9A81-48D5-9531-EEC05F962BBD.jpeg
 
Kama una maanisha mama yangu ubarikiwe sana[emoji120] [emoji120]

Bado siku sita tu tukamilishe mwaka tangu tukutane kwenye uzi huu,tumeishi kama familia moja kwa kipindi chote hiki.

Tumepishana kwa maandiko yetu hadi tukafikia kununiana humu (mimi na Shimba kwa picha ya beach ya msukuma, mimi na Yegomasika kisa jina andaeitini, Shimba na ISIS kisa siasa,Numbisa na BAK kisa siasa,Shimba na BAK kisa siasa, carba Numbisa na ISIS nadhani ni siasa,n.k.) na wengine tukaya maliza mapema kabisa maisha yanaendelea. Mimi niliwahi kukuita Me kwa mwandiko wako niliouona siasani,ulivyo nielewesha nikaomba msamaha maisha yakaendelea.
Ahsante Numbisa kwa kumdhibiti "binti" yetu Aleyn kwa zile lugha zake za ujana siku za mwanzo wa uzi huu,lasivyo tusingekuwa hapa kwa mtazamo wangu.

Niseme tu ukweli, na minywele yangu mieupe kila mahali ilipo bahatika kuota,najiona bado ni kijana sana ninapo piga stori na vijana wangu humu,nafarijika sana tena sana. Nataniwa kupitiliza,lakini ndio maisha,kucheka ndio afya yetu.
Nakuomba mama yangu, usimshirikishe mzee wa liver kwa hili,"watoe vijana wako kwenye ignore list" tuanze maisha mapya.
Wewe ni mzee mwenzangu, tudumishe upendo kwa kuishi na vijana wetu kwa akili.

Leo ni jumapili, naona NGUVU YA MSAMAHA kutoka kwa Mungu kupitia kwa dada yangu ISIS inaenda kutimia kwetu sote.View attachment 799423
Tumetoka mbali saana
Yaani shemeji ukituliza akili unaongea madini matupu.
Sisi ni binadamu yunakoseana lakini ukiona mtu anakukosea mwambie ili ajue kama kakosea muombane msamaha maisha yaendelee.
Maana usipofanya hivyo hakuna atakayejua kama amekukosea,unabaki na kinyongo moyoni mwenzio anaendelea na mambo yake.
Tusameheane tulipokoseana mambo yaendelee.
Barikiwa kwa busasa hizi shemeji,Mungu aendelee kukutunza shemeji yangu mimi.[emoji120][emoji120][emoji120]uendelee kuishi miaka mingi na hizo nywele nyeupe ziote hadi kwenye kope[emoji23][emoji23][emoji23]

Nb:mimi na wewe bado hatujamalizana ishu ya mabumunda[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee mzee sio kabisa...Aki tena.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom