Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1528568910139.jpg
 
Yaani shemeji ukituliza akili unaongea madini matupu.
Sisi ni binadamu yunakoseana lakini ukiona mtu anakukosea mwambie ili ajue kama kakosea muombane msamaha maisha yaendelee.
Maana usipofanya hivyo hakuna atakayejua kama amekukosea,unabaki na kinyongo moyoni mwenzio anaendelea na mambo yake.
Tusameheane tulipokoseana mambo yaendelee.
Barikiwa kwa busasa hizi shemeji,Mungu aendelee kukutunza shemeji yangu mimi.[emoji120][emoji120][emoji120]uendelee kuishi miaka mingi na hizo nywele nyeupe ziote hadi kwenye kope[emoji23][emoji23][emoji23]

Nb:mimi na wewe bado hatujamalizana ishu ya mabumunda[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Hapo ndo tuna kwazanaga na wewe kwenye kudai madeni...
Kwanini haupendagi kudanganywa hata kidogo ili maisha yaendelee?

Jumapili ijayo fesi tu fesi samu wea,nita kupitia ninavyo enda kwa mzee wa pwani.
Unakumbuka zile ... za mbuzi ulisema na wewe una zitaka?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikwambia najua kudai mimi.

Mimi zile huwa situmii ila choma kwa sana tu[emoji39][emoji39][emoji39]
Tutapanga shem usijali.

Msalimie mama na wadogo zangu
 
Humu ndani watu wanabusara sema huu uzi tu ndo huwa unaharibu akili za watu,nimependa busara zake.

Ila sisi hajatuomba msamaha kutuota tuu idiotiz[emoji23][emoji23][emoji23]
Shuaainii zenu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niwaombe msamaha kwa lipi?!!! Nyie tuu idioti mmenifanya nisiheshimike kwenye huu uzi. Mmenipachika majina ya ajabu ajabu utadhani yego mwenzenu... Nonsensi
 
Back
Top Bottom