Masaki Peninsula dah !!!
Sijafika huko kwa kweli kwa sasa najijenga hapa hapa nyumbani tu!Huku kwema. Hujazungukia mitaa hii hivi karibuni?
Indeed!Masaki Peninsula dah !!!
Tulishapanga kuonana kipindi kile. Safari hii nikija nitajitahidi. Endelea kubarikiwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 799576 View attachment 799575
Mambo mengi mno, alafu nikajisahau kabisa kwa kweli!
Karibu Masaki kama uko Dar City
Najua unapenda vitu vizuri!Masaki Peninsula dah !!!
Asante sana na wewe pia my brother!Tulishapanga kuonana kipindi kile. Safari hii nikija nitajitahidi. Endelea kubarikiwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sana kwa kweli!Najua. Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tulishapanga kuonana kipindi kile. Safari hii nikija nitajitahidi. Endelea kubarikiwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hata mimi najisikia raha sana, remain blessed kwa kweli!Nimefurahi kwakweli....Raha iliyoje kukaa nyumba moja kwa upendo..