Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hata mimi najisikia raha sana, remain blessed kwa kweli!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hata mimi najisikia raha sana, remain blessed kwa kweli!
Ignore list no more jamani uwiii Hahahaha![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huchelewi kuharibu bro ukajikuta ukija upo tele ignore list. This time acha ukorofi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huchelewi kuharibu bro ukajikuta ukija upo tele ignore list. This time acha ukorofi
Kila kitu kina faida bro. Hayo mafankisheni na malogarithim ndiyo yanatumika katika karibu kila nyanza kuanzia dawa tunazokunywa, matibabu ya kansa mpaka tabia za wapiga kura na kupima tabia za watu FB na kwingineko. Siyo vibaya vijana wakaonjeshwa ili wanaopenda waendelee nayo.Hahah
Mambo mengine yalikuwa kuchoshana tu,, kama zile logarithim, function
Sijui kapotelea wapiMzee ruta ana hali gani huko alipoooo mara hii kapitwa likes aiseee tutajaziwa mapicha humu kufidia uwiiiiii
Ni kweli. Nimeanza sasa kutafuta legacy. Muda wangu ukikamilika hapa duniani, nitakumbukwa kwa lipi? Ndilo ninalopigania sasa. Kuisaidia Tanzania yangu hasa kizazi hiki na vijavyo. Mungu na Anisaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Najua unapenda vitu vizuri!
Karibu Dar opportunity kibao walahi!
Lakini nyumbani popote walahi
Nitakueleza kitu. Mambo yamebadilika kidogo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mzee ruta ana hali gani huko alipoooo mara hii kapitwa likes aiseee tutajaziwa mapicha humu kufidia uwiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah siamin maana tulikua tumebanana mule jooto kali kweli. Opssss tupo huruuuuIgnore list no more jamani uwiii Hahahaha!