Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah
Mambo mengine yalikuwa kuchoshana tu,, kama zile logarithim, function
Kila kitu kina faida bro. Hayo mafankisheni na malogarithim ndiyo yanatumika katika karibu kila nyanza kuanzia dawa tunazokunywa, matibabu ya kansa mpaka tabia za wapiga kura na kupima tabia za watu FB na kwingineko. Siyo vibaya vijana wakaonjeshwa ili wanaopenda waendelee nayo.

Tatizo lililopo, hata hivyo, ni ubovu wa mfumo wetu wa elimu. Muda mwingi mno unatumika katika "kumuonjesha" mtoto majitu meeengi bila kujua hasa ni kipi hasa atakipenda. Tuwe kama Ujerumani. Kama mtoto hapendi haya majitu na anataka moja kwa moja aende kujifunza akitakacho (uashi, udereva, umekanika, uchomeleaji...) basi anakwenda na hapotezi muda katika mambo ambayo hayatamsaidia. Haya anawaachia akina Consuela [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Najua unapenda vitu vizuri!
Karibu Dar opportunity kibao walahi!
Lakini nyumbani popote walahi
Ni kweli. Nimeanza sasa kutafuta legacy. Muda wangu ukikamilika hapa duniani, nitakumbukwa kwa lipi? Ndilo ninalopigania sasa. Kuisaidia Tanzania yangu hasa kizazi hiki na vijavyo. Mungu na Anisaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…