Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbe ni siku ile[emoji23][emoji23]aitasahau lile povu aiseh!
Pole ila yaonekana ushakuwa mwenyeji wa ignore list,sijui nikuweke[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaharakati wetu wateule. Aisee tena siku nyingi sijaoga povu. Nitazuka siasani huko nikatesti zali. Siku nyingi sijaitwa kibuyu, taahira, mwehu...Ubaya hata Numby akiendaga kwenye ligi zake huko huwa ananiachaga...

Nakupa ruhusa. Nitie kwenye ignore list ya mwezi mmoja tu. Itanitosha...
 
428923316_178170.jpg
 
Ila lile jukwaa linashida kwakweli,watu hawako sawa kule.
Tatizo numby anaendaga kwenye ligi za ubuyu huko wewe hapakufai.

Mwezi mmoja eeh??
 
Kuna mtu ameniuliza eti " kwa mfano umeshinda Biko million 100 halafu mpenzi wako ameshindwa kesi mahakaman na anapaswa afungwe miaka 30 au alipe faini ya milion 99. Je utamlipia ubakiwe na milion 1"

Kwa kweli nilichomjibu ni: "Huwa sipendi kuingilia mipango ya mahakama, ntamshauri amwamini Mungu tu. aende aombe hata Paulo na Sila waliomba milango ya gereza ikafunguliwa.
[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Back
Top Bottom