Hahaha
Juzi kaniambia Bila mimi huwa anakosa raha ngoja nitamuambia nimerudi jamani...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aseee! Tok uondoke mahudhurio yake ni hafifiu
Nimeacha bro[emoji23][emoji23]Carbaa!! acha fujo.
mdogo wangu Davet karudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ati nini?Juzi kaniambia Bila mimi huwa anakosa raha ngoja nitamuambia nimerudi jamani...
Kila la kheri,na usilale hadi umuoneNgoja nikamtafute mwenyewe popote alipo bila kumuona leo silali
Tupo kamandaWapendwa vipi mpo poa humu?
Hahah!! Asante sana mkuu, kumbe ndio pande zako hizo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana. Nilisikitika sana ningendako alipo nitilia wasi wasi mimi. Karibu sana Mwakaleli mkuu[emoji120] [emoji120]
Eeeeh!Juzi kaniambia Bila mimi huwa anakosa raha ngoja nitamuambia nimerudi jamani...
Sitasahau aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona huta sahau hiyo kauli aiseh
Bila wewe nakosa rahaAti nini?
[emoji23][emoji23]Carbaa!! acha fujo.
mdogo wangu Davet karudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwezi mmoja utanifaa sana...Ila lile jukwaa linashida kwakweli,watu hawako sawa kule.
Tatizo numby anaendaga kwenye ligi za ubuyu huko wewe hapakufai.
Mwezi mmoja eeh??
Mfyuuuuuu[emoji36][emoji36][emoji36]Khaaa! Mi simjui ledada una nsingiziaView attachment 799727
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu,, hausahau tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana. Nilisikitika sana ningendako alipo nitilia wasi wasi mimi. Karibu sana Mwakaleli mkuu[emoji120] [emoji120]
Ati nini?Bila wewe nakosa raha
Nimenukuu
Toka ujue unapendwa basi unariingaa!Nimeacha bro[emoji23][emoji23]
Huo usingizi aatanzia wapi kuupataKila la kheri,na usilale hadi umuone