Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

448411767_9270.jpg
 
Every girl has that one black bra that is always on duty,,,[emoji12][emoji12]
No leave. No transfer, no nothing,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Daktari alitaka kujua kama wangonjwa wamepona. Akawauliza 3+3=??

Mutiso: 3+3 ni 2500
Daktari: Wewe nakurudisha ward

Omondi: 3+3 ni Ijumaa
Daktari: wewe nakupeleka ICU

Kamau: 3 + 3 = 6
Daktari: PONGEZI! Hii umeipata vipi?
Kamau: Nimegawanya 2500 kwa Ijumaa

Daktari alifaint[emoji23]
 
Hii ifikie walevi wote

Daktari yeyote asikuambie ati pombe huchoma maini. [emoji10][emoji10] Ukikunywa pombe huwa inaenda tumboni wala sio kwa maini, tumbo yenyewe imezoea chai moto itachomwaje na pombe baridi?? [emoji848][emoji848] Akisisitiza zaidi, mwambie tumbo na maini ata sio majirani [emoji23][emoji23]

[emoji473][emoji473][emoji473][emoji473]
 
Kuna watu humu ingeamuliwa waishi miaka sawa na maksi za Hisabati walizopata NECTA Form Four, wangekuwa walishazikwa kitambo na kuitwa marehemu
Utaua wengi humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom