Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati huo huo msemaji wa Serikali, Ateny Wek Ateny aliliambia Shirika la Habari la Associated Press-AP kwamba upinzani ulishambuliwa “wana uongozi huru. Hawadhibitiwi na mtu yeyote”.

Rais Kiir na mpinzani wake Riek Machar ambaye alikuwa msaidizi wa zamani wa Kiir walitia saini mkataba wa kusitisha mapigano siku ya Jumatano baada ya mazungumzo ya ana kwa ana yaliyofanyika katika nchi jirani kwenye mji mkuu wa Sudan, Khartoum.
 
Mkataba huo unatoa wito wa kufunguliwa njia za barabara kwa ajili ya kufikisha misaada ya kibinadamu, kuachiwa huru kwa wafungwa na kuondoa vikosi vya jeshi kulingana na shirika la habari la Suna.

Shirika hilo la Suna pia liliripoti kuwa vikosi vya jeshi na Umoja wa Afrika na Kundi la Igad watafuatilia usitishaji huo wa mapigano.
 
Maelfu ya watu waliuawa tangu vilipoanza vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Sudan Kusini mwaka 2013 chini ya miaka miwili baada ya nchi hiyo kujipatia uhuru wake kutoka Sudan.

Mzozo huo pia ulisababisha watu zaidi ya milioni tatu kukimbia nyumba zao.
 
Maelfu ya watu waliuawa tangu vilipoanza vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Sudan Kusini mwaka 2013 chini ya miaka miwili baada ya nchi hiyo kujipatia uhuru wake kutoka Sudan.

Mzozo huo pia ulisababisha watu zaidi ya milioni tatu kukimbia nyumba zao.
 
Uchunguzi wa sukari inayodaiwa kuwa na madini ya zebaki ambayo ni hatari kwa afya ya binadamu nchini Kenya umepanua ufa kati ya viongozi wa chama tawala cha Jubilee. Mambo si mazuri kabisa ndani yake.

Kila wakati Rais Uhuru Kenyatta anapotangaza hatua kabambe za kutokomeza ufisadi, anapokea upinzani mzito kutoka kwa baadhi ya viongozi katika chama chake.
 
Kwa muda wa wiki mbili sasa, kumekuwa na sakata za uagizaji wa bidhaa duni, hasa sukari. Waagizaji walionaswa punde tu uchunguzi ulipoanza walikuwa na maghala yao katika eneo la Eastleigh ambalo Wasomali wengi wanaishi na kufanya biashara.

Ni jambo la kusikitisha kwamba mipango ya kuwalinda Wakenya wasiendelee kudhurika kutokana na bidhaa ya sampuli hii, inapingwa ama kukejeliwa na viongozi wanaofaa kuchangia katika juhudi hizo.
 
[emoji91] fayaaaaa
Fayaaaaaaaa
IMG_20180628_093736.jpg
 
Wiki jana, mambo yalikuwa motomoto katika pilikapilika hizo. Kiongozi wa walio wengi bungeni, Adan Duale aliamua kuegemea upande wa wafanyabiashara wa Kisomali wenzake waliopatikana na sukari inayodaiwa kuwa na tatizo hilo.

Badala ya kuzungumza kama kiongozi wa Wakenya wote kwa sababu ya wadhifa wake katika Bunge la Kitaifa, Duale ambaye ni Msomali kutoka Jimbo la Garissa, alidai kwamba vita dhidi ya sukari ghushi vinawalenga watu fulani.
 
Kiongozi huo ambaye alikuwa amejaa hasira aliapa kupeleka bungeni majina ya waagizaji wa sukari ambao hawajakamatwa ilhali mahali wanapoweka sukari hiyo panajulikana.

Mwanasiasa huyo ambaye ni rafiki mkuu wa Makamu wa Rais, William Ruto alidhihirisha kwamba hakuwa anafanya mzaha. Siku iliyofuata aliwasilisha bungeni majina ya kampuni na wamiliki wake.
 
Back
Top Bottom