Tupo pamoja nduguKwema kabisa mkuu.
Mkuu mkuuDaaah
Kwema mkuu?Omarion 5 Ajr
HahahahaUtoe mchango upewe usponsor
Hahahaha walitusitiri[emoji23][emoji23][emoji23], wanavijiji.
Iniesta ndaniDk 63'
Duh! [emoji23]..nahisi ndo waloshughulika na hii.
Hahahaha inabidi kumpa sapoti kiana nitakuwa napita mtaa ule kumcheki mate wetuHahah!! Jamaa nilimuita huku akaahidi atakuja....
Jamaa atakua mpweke sana
Haswaaaaa! Ila kwangu sikuona hata raha yake...Ndo maana nilikuwa nikiingia mara 1 moja.Hahahaha walitusitiri
Alitumia pesa mingi sana kuondoa uparaKapandikiza nywele sasa nywele kede kede
Spain hawawezi kuforceIniesta ndani
Ndio tatizo la Spain hawana plan BMpaka sasa haitabiriki na mbinu za kutoboa ukuta wa Urusi hawana kabisa
Mkuu Mkuu umepotea sanaMkuu mkuu
Hahah!! Hakika mkuu, me pia nitamtembeleaHahahaha inabidi kumpa sapoti kiana nitakuwa napita mtaa ule kumcheki mate wetu