omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,204
- 17,687
Sijambo kabisa Bro, nimefurahi kukuona kwa mala nyingine tena. [emoji144]♂️Niko poa bro. Wewe hujambo?
Sijambo kabisa Bro, nimefurahi kukuona kwa mala nyingine tena. [emoji144]♂️Niko poa bro. Wewe hujambo?
Hakika Bro, shukrani sana.Mihangaiko haiishi bro mpaka siku ya mwisho. Hasa kwetu sisi wanaume...
Tuendelee kumuomba Mungu wetu Atupe uzima broSijambo kabisa Bro, nimefurahi kukuona kwa mala nyingine tena. [emoji144]♂️
Numbisa, shikamoo cc.Happy new month
Mtavitelekeza vyeo vyenu huko ughaibuni au inakuwaje sasa?Village elder
Davet, niaje niaje asee?Hawana maana hawa ukiwafatiza unapata vidonda vya tumbo, kama unakumbuka ata issue ya Nape na sihivi hivi tu
Kabisa bro.Tuendelee kumuomba Mungu wetu Atupe uzima bro
Nitakuwepo na kule nataka kuwa village chief au sponsorMtavitelekeza vyeo vyenu huko ughaibuni au inakuwaje sasa?
Safi kabisa mkuu, kwema?Davet, niaje niaje asee?
Marahabaaa omarion za masiku?Numbisa, shikamoo cc.