mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Amina mkuu mambo vipiWapendwa; hamjambo? TUMSHUKURU MUNGU WETU. Tunakutana tena.
Amina mkuu mambo vipiWapendwa; hamjambo? TUMSHUKURU MUNGU WETU. Tunakutana tena.
Binafsi sijambo, za tangu mwezi JUNE?Wapendwa; hamjambo? TUMSHUKURU MUNGU WETU. Tunakutana tena.
Safi kabisa kamanda. JF yetu imerudi na Mwigulu NchembaAmina mkuu mambo vipi
Hila Mwigulu alipwaya hile nafasiNgoja tumuone Kangi Lugola naye atakakotupeleka. Maisha haya nyingi mbwembwe tu. Mungu Atupe hekima
Mpendwa
Mimi pia. Nilikuwa nawaona kule ugenini kimya kimya. Basi nilikuwa nasononeka tu kuhusu shikamoo yangu. Sasa mambo ni fayaaaaaaaaa. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Binafsi sijambo.... nilikumiss sana Bro
Njema mwalimu mwema mwenye darasa lililojaa maua na muziki laini wa Kihindi. Kanafunzi kako kale kaoga hakajambo? Kalikuwepo ukimbizini ughaibuni?Binafsi sijambo, za tangu mwezi JUNE?
[emoji23] [emoji23][emoji23]Ushaanza kuwachokoza eenh
Broooooo broooooo waaaaowwwwNjema mwalimu mwema mwenye darasa lililojaa maua na muziki laini wa Kihindi. Kanafunzi kako kale kaoga hakajambo? Kalikuwepo ukimbizini ughaibuni?
Hahahahaha! Hata sijui kako wapi...Tangu kupotea kwa jf basi ndo mwisho wa kukaona..Huko ughaibuni labda kalikuwepo kimyakimya...SOLIDINjema mwalimu mwema mwenye darasa lililojaa maua na muziki laini wa Kihindi. Kanafunzi kako kale kaoga hakajambo? Kalikuwepo ukimbizini ughaibuni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]mambo ni hiviiiiii