omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,204
- 17,687
Bro, habari yako?Njema mwalimu mwema mwenye darasa lililojaa maua na muziki laini wa Kihindi. Kanafunzi kako kale kaoga hakajambo? Kalikuwepo ukimbizini ughaibuni?
Bro, habari yako?Njema mwalimu mwema mwenye darasa lililojaa maua na muziki laini wa Kihindi. Kanafunzi kako kale kaoga hakajambo? Kalikuwepo ukimbizini ughaibuni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 800125
Kipindi ana hili vazi alikuaga mkali huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 800125
[emoji23][emoji23]Kipindi ana hili vazi alikuaga mkali huyo
Kwema bro? Za wiki kadhaa?Habari ya jioni wapendwa?
Mianasiasa imeanza kubembelezana? Walikuwa wakimwita muasisi wa watu wasiojulikana leo kageuka shujaa...
Sema binti mpole Ntolito. Kwema?Broooooo broooooo waaaaowwww
Katakuja bila shaka.Hahahahaha! Hata sijui kako wapi...Tangu kupotea kwa jf basi ndo mwisho wa kukaona..Huko ughaibuni labda kalikuwepo kimyakimya...SOLIDI
Niko poa bro. Wewe hujambo?Bro, habari yako?
Njema sana bro. Za miangaiko hapa na pale?Kwema bro? Za wiki kadhaa?
Hawana maana hawa ukiwafatiza unapata vidonda vya tumbo, kama unakumbuka ata issue ya Nape na sihivi hivi tuMianasiasa imeanza kubembelezana? Walikuwa wakimwita muasisi wa watu wasiojulikana leo kageuka shujaa...
Mihangaiko haiishi bro mpaka siku ya mwisho. Hasa kwetu sisi wanaume...Njema sana bro. Za miangaiko hapa na pale?