myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
20:10
Hahahaha Mimi nashukuru timu yangu bado ipo lakini kwa maajabu haya sijui BelgiumPortugal na spain out daaah kama davet tu na argentina na german
Hakika ni mwema na wa kushukuliwaKwema Wakuu?
Habari za kupoteana? Hope tumerudi wote tena,,,
Mungu ni Mwema
Ndio hivyo tenaDaaah
Nayo ikitolewa utahamia wapi hahahahaNahamia team france
Kweli mkuuWolrd Cup 2018,,,haitaki timu janja janja zilizopita kwenye group stage,,,
Kesho kuna mwingine nae atafata OUT
Umeona Russia Na Uruguay wametoka kundi moja Na wamevuka woteWolrd Cup 2018,,,haitaki timu janja janja zilizopita kwenye group stage,,,
Kesho kuna mwingine nae atafata OUT
Haya maajabu yamezidi sana safari hiiDuh mpira una maajabu yake na ndio maana hatuchoki kuupenda mchezo huu!!
Wenyeji wanastahili pongezi maana walibezwa sana!!
Tumerudi kwa kasi..
YapSpain out..AUTI
Kabisa...Vigogo wanadondokea pua
Ingini imewakaaaa....Jf on fire again, woyooooo.!!!