mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
KabisaaaaVigogo wanadondokea pua
Wengi tu ,Pique ,Ramos naona mkumbo mmojaHabari ya kwanza itakuwa ni Iniesta kustaafu timu ya taifa.
Kwema kabsa Pyaar,, Tunamshukuru MunguSafi Ningendako, kwema?
England alipita kwa nguvu zake hila Brazil tia maji tia majiVigogo wote kwenye group stage wamepita kiujanja ujanja,,, lazma watoke tu,,, wamebaki Brazil na England
Kwema mkuu?
Salama shiro,,, nipo aseKwema asee, za kwako?
Akijibu nitagAnaogopa kujibu
Mkuu niaje mambo vipiAiseeee.."" Nafuraha kuona tumekutana tena ""
[emoji120][emoji120][emoji120]Kwema kabsa Pyaar,, Tunamshukuru Mungu
Sana aisee,, WC 2018 vigogo wengi walikuwa wanacheza kijanja janja tu,, hii ni aibu yao,,,Umeona Russia Na Uruguay wametoka kundi moja Na wamevuka wote
[emoji120][emoji120][emoji120]Kwema kabsa Pyaar,, Tunamshukuru Mungu
Hile ligi ya kiranga Na Mshana naona itarudi tena je una akili ama huna akili?Aiseeee.."" Nafuraha kuona tumekutana tena ""
Brazil anahali mbaya,,, nae janja janja yuleEngland alipita kwa nguvu zake hila Brazil tia maji tia maji
Spain20:10
Elder villagerWeekend inaelekea ukingoni
Elimu utapata hapaBurudani utapata hapa
SupersonicTumerudi kwa kasi..
Kwema bro?Jf on fire again, woyooooo.!!!
[emoji23], kagoma.Akijibu nitag