Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
pokea like yako mkuuUjio wako nimeupenda zaidi ya mtu mwingine
pokea like yako mkuuUjio wako nimeupenda zaidi ya mtu mwingine
Usihisi watu kweli wamekulaNahisi kuna watu wamesahau kula
Nawaogopa wanaume wasio na pesa alafu hawana akili on top of that ni arrogant! Hiyo ni lethal combinationSis, wewe huna phobia yo yote? Mende? Kunguni? Nyuki? Wanaume wasio na pesa?...
Mwanzo mwisho its weekendSpeed hakuna kuchoka..
Shimba pole kama ushaumwa na those deadly aliens!! Siwezi kupenda mijoka asilani chief.Naona komredi ana phobia ya nyoka. The fear is justifies though. Alishaniuma mmoja kidogo niRIP japo siwaogopi kabisa.
80kKwa speed hii lazima tufike 77k
Mkuu nipo Leo halali mtuMzee wa liver upo
Nawapa pongeziKuna raia hapa hawajala toka jana wanakula tu like
carbamazepine naomba unisaidie kujibu maana swali langu ni lako.Mkuu vipi hapo umejitwalia jiko?
UjazweJazaaaaaaa
Umekumbuka migombani!![emoji13] [emoji13]Hahahahaaaa
Naamini alikuwa anamnukuu Dr. Remy Ongala katika wimbo wake wa tenda wema uende zako. Kuna mahali anasema "wema kum*nyoko"Punguza hasira mkuu, yazoee makwazo