mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahaNabaki kuwa mupenzi mutazamaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahaNabaki kuwa mupenzi mutazamaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha walianza humu TCRa ikawatenganishaHahaha ulidaka hii kule Ukimbizini
Ramos RamosMo Salah ambaye amepewa uraia wa heshima wa Chechnya, amekuwa katika kipindi kigumu kutokana na jeraha la bega alilolipata katika mchezo wa fainali ya Ligi ya mabingwa Ulaya, kumfanya ashindwe kucheza fainali za Kombe la Dunia kwa kiwango chake hivyo kuinyima Misri mafanikio.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahaMwanaume wa shoka Edison Cavani, aliamua kuwaua Wareno mwenyewe bila kuomba msaada. Mabao mawili yalitosha kumpa Cristiano Ronaldo kibali cha kimfuata Lionel Messi uwanja wa ndege. Ilikuwa ni aibu.
Mkuu niaje mambo vipi za masikuHamjambo marafiki wapenzi, nimewamisi mpaka basi
Kama kawaidaHATUPOI
Huhuh!! Usiniambie umeshapata kichaka kipya?Hahahaha team france hapa
KabisaLeo ni siku ya furaha jamani