konge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 6,621
- 41,334
Mkuu konge habari yako
Salama kiongozi , mzima lakini?
Mkuu konge habari yako
Nashukuru mwenye enzi mkuu nipo salama kwa uweza wakeSalama kiongozi , mzima lakini?
hujambo..karibu tenaNilimissHii kitu
Sijambo Kabisa, asante nimeshakaribiahujambo..karibu tena
Jolie clubHahahha Ambiance kona bar pale hapafai ase
Mmh chamfupa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
hahahaa acha basiii"" Jamaa wamejipanga ""Hahahahaha,
Weee jamaa bwana,
USA na Israeli na mpira wapi na wapi ???
Hata mirusi yenyewe imebahatisha tu leo,
Hii mijamaa kombe lao la dunia ni Pulonium, Novichok na kalashnikov....Mpira wawaachie Brazil.