Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatua hiyo inajiri baada mwanamuzilki huyo kuchapisha kanda fupi ya video akivumisha ziara yake ya Marekani.
 
Video hiyo haikumuonyesha mwana wa Hamissa Mobetto, hatua iliowakera mashabiki wake waliotoa hisia tofauti kabla ya Diamond kuchapisha ujumbe huu.
 
''Huyu ni mwanangu... na ataendelea kuwa mwanangu maisha yangu yote, tena kipenzi changu... .Hakuweza kuwepo kwenye clip iliyopita sababu @lukambaofficial Hakuwa na clip ya mimi na yeye ya Hivi karibuni... na si Vinginevyo... ... .Halaf cha kuongeza, msiniletee Uteam wenu kwa Watoto zangu! Wote ni watoto wangu, Nawapenda na siwezi mtenga wala kumbagua yoyote... ..[emoji1360] @deedaylan [emoji178][emoji178]
 
By KALUNDE JAMAL
Katika maisha ya binadamu yeyote kuna nyakati mbili kuu, ambazo ni furaha na huzuni. Wakati wote lazima uishi ukifahamu kuwa kuna wakati utakuwa katika moja ya hizo. Kila binadamu ana namna ya kuzipokea nyakati hizi.
 
Hii ni kwa sababu kila linalotokea kuna dhumuni maalumu maishani mwa kila mtu, hivyo jambo la msingi ni kuhakikisha hicho hakiwi kikwazo cha kukatisha ndoto zako za kusonga mbele.
 
Cha kujifunza baada ya mapambano ya wakati wa huzuni na kupitia magumu ni kutosahau nyakati hizo kwa sababu zitajirudia wakati wowote, kulingana na ulivyopokea ushindi au kushindwa.
 
Kumbuka siku zote hakuna mafanikio rahisi, hivyo ukiona magumu, changamoto zinakuwa nyingi utambue mafanikio yapo karibu, tena inawezekana hatua chache kutoka hapo ulipo, inua mguu, piga hatua uyafikie.

Wahenga walisema “Giza la usiku linapokuwa nene sana ujue alfajiri imekaribia”.

Uvumilivu iwe silaha kuu, usisahau kuwa na mtizamo chanya kwa kila unalotaka kufanya, usitangulize haiwezekani kwa sababu kila jambo linawezekana kwa bidii, maarifa, uvumilivu na kujituma, wakati unafanya hayo pokea ushauri wa maana achana na wanaokukatisha tamaa, angalia unataka kupata nini katika hilo jambo unalofanya.
 
Back
Top Bottom