Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahahahahahaha! Mtaonja na visivyoonjekaView attachment 800847
Boychild tuwe makini
Kina Dada siku hzi wanatumia tomato sauce halafu wanasema wako period
Akija geto onja kwanza kuthibitisha [emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂ Thank me later[emoji1544]
[emoji23][emoji23][emoji23]Nae anaihamisha..anasogeza karibu na seatUkitaka dem akae kwa bed instead of seat , unasongesha extension karibu na kitanda
KabisaIt was sarcasm. Kila mtu anajua kuwa ugonjwa kwa kawaida ni siri kati ya mgonjwa na daktari wake/ndugu wa karibu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukijua nyingine nijuzeKando na
"Nitakueka kwa maombi"
ni njia gani ingine wakenya hutumia kukuambia upambane na hali yako ??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Huyo atakuwa mwenyeji. Kama bado mgeni mgeni hawezi. Atajikalia tu kitandani na kujifanya kama vile it is no big deal japo atakuwa anahisi whati izi kamingi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Nae anaihamisha..anasogeza karibu na seat
Chicharito hajachacharika? Walipoifunga Ujerumani shangwe za amigos zilisababisha tetemeko la karibia 5 kwenye kipimo cha Richter Mexico City. Wakiifunga Brazil majengo yataanguka leo kwa sababu tetemeko laweza kufikia 9.0...Dk 39 bila bila