myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Namshangaa sana kocha kumuanzisha yesu badala ya huyu dogoFirminooooooo
Naelewa, maumivu yake sio ya nchi hii...Huwa inauma we usiombe. Hasa kuwe na baridi na lizipu liwe likubwa yale ya chuma chuma yale..maweeeee [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Kwema kabisa Bro. Habari za wiki kadhaa?Kwema bro?