Yegomasika nakuona unapita kimya kimya
Poa, nilikumiss hatari...JF ingepotea mazima ndo hivyo tena..Asante Mungu imerudi.Hahaa, nipo Mwanawasu! Mambo?
Salama kaka,,Mungu anasaidia tumerudi tena,,, kwema huko?Kwema kabisa Bro. Habari za wiki kadhaa?
KweliHakika BRAZIL itabeba ndoo.
[emoji23][emoji23]Hapo utafurahisha watoto, wanawake na wanaume wa DAR tu.
Poa, nilikumiss hatari...JF ingepotea mazima ndo hivyo tena..Asante Mungu imerudi.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hahaha kweli Aise,, hakuna mwanaume mpenzi wa Ice cream[emoji23][emoji23]Hapo unafurahisha watoto na wanawake...Wanaume je?
Hahaha wanaume DAR wapumzisheni bhna[emoji23][emoji23]Hapo utafurahisha watoto, wanawake na wanaume wa DAR tu.
Labda wanaume wa DARHahaha kweli Aise,, hakuna mwanaume mpenzi wa Ice cream