mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahaha amekuja poti wanguYegomasika nakuona unapita kimya kimya
NamuonaHahaha amekuja poti wangu
Ina maana mjepu anampiga BelgiumBrazil kukutana uso kwa uso na Japan (ujapani) katika hatua ya 8 bora (robo fainali)
Mkuu hapo naweka dau na bet Japan njeLeo Ubelgiji watafungwa na Ujapani.
LikesUsiku wa kupeana
Mkuu niajeKwema kabisa Bro. Habari za wiki kadhaa?
Hapo bado kidogo wacha tuoneHakika BRAZIL itabeba ndoo.
Yego kutikiHahaa, nipo Mwanawasu! Mambo?
Mambo Jakitoo,,,Lukaku[emoji173]
Mkuu habari masiku teleNilikumiss pia! Naona JF imerejea, tunashukuru Kwa hilo!
Kuna raia anatumia avatar yake humu sijui nani vile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatari sanaWorld cup ya mwaka huu imechana mikeka balaa
Hamna pa kukaa